And how to save Money
Wakati wengi wetu tunasubiri TCU watangaze kozi ya kila mtu na chuo ulipochaguliwa, hebu tumia nafasi hii kupata maarifa kama:
Pia kuna video ambazo zinapatikana Youtube, ingia hapo na usearch .....LBCC-Habits of Successful College Students
- Jinsi ya kusikiliza recture
- Jinsi ya kutumia muda wako vizuri
- jinsi ya kusoma kwa ajili ya mitihani n.k
Kila la heli.....!
Hapo kwenye red lazima wafeli
Hahaaaaa mpo makiniiii..ππππ
Hapa ndio JF refer kwenye Slogan inasemaje.....................
Dah kweli kaka ila naipenda... we learn
Hapo kwenye red lazima wafeli