Jifunze Mbinu za Kukwepa Kufeli Chuo Kikuu

Jifunze Mbinu za Kukwepa Kufeli Chuo Kikuu

Ndebile

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2011
Posts
7,745
Reaction score
11,267
Wakati wengi wetu tunasubiri TCU watangaze kozi ya kila mtu na chuo ulipochaguliwa, hebu tumia nafasi hii kupata maarifa kama:
  1. Jinsi ya kusikiliza recture
  2. Jinsi ya kutumia muda wako vizuri
  3. jinsi ya kusoma kwa ajili ya mitihani n.k
Pia kuna video ambazo zinapatikana Youtube, ingia hapo na usearch .....LBCC-Habits of Successful College Students
Kila la heli.....!

Attachments

Last edited by a moderator:
Usisahau Na Jinsi Ya Kujiandaa Kupata Ajira Au Kujiajiri Ukimaliza Masomo Yako
 
Kwa wengine najua bando ni tatizo, kama umependa video hizo nitumie pm tuone jinsi ya kukupatia kwani nimezidownload zote hivyo ni rahisi kuzi-burn au kuziwekakwenye flash disk nk. HAKUNA NJIA NYEPESI YA KUFIKIA MALENGO YAKO....!
 
Wakati wengi wetu tunasubiri TCU watangaze kozi ya kila mtu na chuo ulipochaguliwa, hebu tumia nafasi hii kupata maarifa kama:
  1. Jinsi ya kusikiliza recture
  2. Jinsi ya kutumia muda wako vizuri
  3. jinsi ya kusoma kwa ajili ya mitihani n.k
Pia kuna video ambazo zinapatikana Youtube, ingia hapo na usearch .....LBCC-Habits of Successful College Students
Kila la heli.....!

Hapo kwenye red lazima wafeli
 
Back
Top Bottom