Jifunze namna ya kutengeneza sabuni za maji na sabuni za miche, shampuu batiki, mishumaa na jinsi ya kuzingatia vipimo wakati wa kutengeneza sabuni

Sh.ngap kitabu,maana link nimeona haifunguki

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Mimi nataka sabuni ya mche njoo pm tuyajenge
 
Na sabuni za majivu je zinaitwa sabuni za magwanji
 
CC: Tuliwonda
Uzi huu wa mtoa mada, mwishoni kuna jambo lako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…