Nikiendelea na harakati ZANGU za usafi wa mazingira, nikafikiri hatuwezi kuweka mazingira safi pekee ilihali nguo zetu haziko safi.
Sasa nimekuja na sabuni za maji na Jiki ya nguo nyeupe, angalizo, bado sija sajiliwa natengeneza kama mjasiriamali mdogo nipo kwenye utaratibu wa kufuata Sheria...
Anaitajika mtu wa kukopesha sabuni za maji .
1.Target chupa 60 za Lita moja
2.Mshara 150,000
3.Ela ya chakula atapewa kwa siku 2,500
Anaitajika kwa yule aliyetari na anayejua kazi kwa moyo
Mawasilino: 0657010002 au tuma CV [email protected].
Makala hii imeandaliwa kwa lengo la kumkwamua mjasiriamli katika kutengeneza bidhaa mbalimbali za ujasiriamali itumie kujigunza kunatengeneza bila kufundishwa.
Kupitia program maalumu ya mafunzo kwa njia ya mtandao, watu wengi sana wamenufaika kupitia blog hii na wengi wamebadilisha maisha yao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.