Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
Nikiendelea na harakati ZANGU za usafi wa mazingira, nikafikiri hatuwezi kuweka mazingira safi pekee ilihali nguo zetu haziko safi.
Sasa nimekuja na sabuni za maji na Jiki ya nguo nyeupe, angalizo, bado sija sajiliwa natengeneza kama mjasiriamali mdogo nipo kwenye utaratibu wa kufuata Sheria zote ili kihakikisha tunajua salama katika utendaji KAZI wetu.
NAOMBA niwashukiru wadau mbalimbali ambao Sina hakika kama nimembers wa humu walio Anza kutumia liquid soap pamoja na Jiki, nawaombeni endeleeni kia na Imani na Mimi tajitahidi kihakikisha bidhaa ZANGU zinakua na ubora wa hali ya juu.
Pia nawakaribisha wote mnaotaka kuongeza nguvu ya pesa na mawazo mbalimbali, lengo ni kufika mbali, nawahakikishia kuwa muaminifu sana Kwa yeyote anataka KUSHIRIKIANA NAMI milango ipo wazi.
Sasa basi Kwa sababu Sheria zetu za nchi haziruhusu kukusanya pesa ya mtu bila kibali maalumu yasitukute ya Mr kuku, nawaombeni tutumie njia mbadala Kwa wale wanataka KUSHIRIKIANA NAMI , ukiwa tayari nakukaribisha tuzungumze, soko lipo ambalo mteja wetu wa kwanza ni hoteli zilizopo hapa visiwani wanahitaji sana sabuni Kwa AJILI ya usafi wa kila siku kuanzia kuosha vyombo, kufua, kudekia rooms nk, Kuna wale wanataka za kuosha magari in short soko lipo kubwa hivo Kwa yeyote mwenye nia ya kufanya kazi na MIMI nakukaribisha. japo ninge penda kuwaweka wazi kua ili kuepuka misconduct mbalimbali, mfumo tutakao utumia ni wakuweka pesa tu na si KUSIMAMIA uendeshaji ili kuepuka muingiliano wa majukumu. we uta hakikisha pesa Yako unaipata Kwa wakati sahihi basi, uendeshaji unaiachia ofisi ambayo ipo chini yangu Mimi.
Nasema haya mana nafahamu changamoto iliyopo hususani hawa wamiliki wa hotels ambao, hupenda kulimbikiza madeni na kuichelewesha ofisi kupata pesa Kwa wakati Kwa AJILI ya uzalishaji endelevu. Hizo changamoto tajua nazisolve vipi.
Mwisho niwatakie weekend njema, alamsiki