Jifunze salamu za kispania ndani ya dakika tano

Idd Ninga

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2012
Posts
5,497
Reaction score
4,775
Kispania au "nyola" kama waitavyo vijana wa Arusha ni lugha ambayo mara nyingi husomwa kama ilivyo.
tuanze na salamu.
>>HOLA-hi
>>HOLA MI AMIGO-hi my friend(wakiume)
>>HOLA MI AMIGA-hi my friend (wakike)
>>BUENOS DIAS-good morning (tamka "bwenosidias")
>>BUENAS TARDES-good afternoon/good evening.
>>BUENAS NOCHES-good night.

>> ¿ COMO ESTAS TU ?-how are you ? (hutumika sana hasa unapowaambia watu wadogo/family form)
pia waweza ifupisha kwa kusema " ¿ COMO ESTAS ?-how are you ?

>> ¿ COMO ESTA USTED ?-how are you ? (USTED itamke "USTEDH").
>>¿ COMO ESTA USTEDES ?-how are you ? (hutumika unapowaamia watu zaid ya mmoja.
>>YO ESTOY MUY BIEN-i am fine.
>>NOSTROS ESTAMOS MUY BIEN-we are fine.
ziada.
>>ME DI-tell me
>>DI ME-tell me.
>>ADIOS-goodbye.
>>CHAOS-goodbye.
>>GRACIAS-thank you (tamka "grathiazi")
>>QUE DIOS TE BENDIGA-God bless you (tamka "ke dios te bendikha")
. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .
jaribu sasa kutamka na kuongea na mwenzako.
wajuzi ongezeni misemo .
 
Nilikua najifunza hii lugha kutokea kwenye app fulani hivi

Ujinga wangu sichukui notisi yaani najifunza kwenye app halafu nasepa.

Ukienda hizo nchi zinazozungumza kispania ukiona huelewi show sema

No hablo espaňol.

Hapo unakua umeomba suluhu.
 
Gracias
Tofauti ya buenos na buenas?
 
Zote ni "GOOD" ila "BUENOS" hutumika katika 'good morning' na "BUENAS" hutumika katika 'good afternoon,evening & night'
 
unarudia pronouns unnecessarily. ukisema estoy bien inatosha. kusema yo estoy ni kurudia bila umuhimu. good though
 
Nilikua najifunza hii lugha kutokea kwenye app fulani hivi

Ujinga wangu sichukui notisi yaani najifunza kwenye app halafu nasepa.

Ukienda hizo nchi zinazozungumza kispania ukiona huelewi show sema

No hablo espaňol.

Hapo unakua umeomba suluhu.
yo hablo un poco espanol
 
Back
Top Bottom