Jifunze salamu za kispania ndani ya dakika tano

Jifunze salamu za kispania ndani ya dakika tano

Me puedo tener-can i have
huko mbele unaongezea unachotaka kuomba,kama ni bumunda,ingawa kwao spain hawajui huo msosi.
[emoji120] [emoji120] [emoji120] nilimaanisha kipochi manyoya
 
Unaweza tumia "TE AMO " -ikimaanisha 'NAKUPENDA', au "TE QUIERO"-nakutaka.
mingi utajipanga mbele ya safari ili akuelewe
 
Pia waweza mwambia " ¿ TE PUEDO BESAR ? " -naweza kukubusu ?
akijibu "SI" Jua kasema 'ndio' ila akijibu "NO" ndo basi tena ha ha ha.
katika kispania wakati wa kuuliza swali ktk kuandika mwanzo wa sentensi ya kwanza unaweka hii alama "¿" na mwisho wa sentesi unaweka " ? "
 
Kispania au "nyola" kama waitavyo vijana wa Arusha ni lugha ambayo mara nyingi husomwa kama ilivyo.
tuanze na salamu.
>>HOLA-hi
>>HOLA MI AMIGO-hi my friend(wakiume)
>>HOLA MI AMIGA-hi my friend (wakike)
>>BUENOS DIAS-good morning (tamka "bwenosidias")
>>BUENAS TARDES-good afternoon/good evening.
>>BUENAS NOCHES-good night.

>> ¿ COMO ESTAS TU ?-how are you ? (hutumika sana hasa unapowaambia watu wadogo/family form)
pia waweza ifupisha kwa kusema " ¿ COMO ESTAS ?-how are you ?

>> ¿ COMO ESTA USTED ?-how are you ? (USTED itamke "USTEDH").
>>¿ COMO ESTA USTEDES ?-how are you ? (hutumika unapowaamia watu zaid ya mmoja.
>>YO ESTOY MUY BIEN-i am fine.
>>NOSTROS ESTAMOS MUY BIEN-we are fine.
ziada.
>>ME DI-tell me
>>DI ME-tell me.
>>ADIOS-goodbye.
>>CHAOS-goodbye.
>>GRACIAS-thank you (tamka "grathiazi")
>>QUE DIOS TE BENDIGA-God bless you (tamka "ke dios te bendikha")
. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .
jaribu sasa kutamka na kuongea na mwenzako.
wajuzi ongezeni misemo .
Nimejaribu kutafuta sehemu ya kujifunzia hii lugha na Portuguese hapa Dar nimekwama. Unaweza kunisaidia?
 
Back
Top Bottom