Elimu ya Sheria
New Member
- Sep 23, 2019
- 3
- 3
Sheria ni elimu muhimu sana kwa kila mtu kuijua kwa sababu mbalimbali ambazo ukishakuwa mtu mzima huhitaji kuelezwa sana, maana utakuwa ushakutana na mkono wa sheria katika mapito ya maisha, au ushapoteza haki zako kwa kutojua sheria.
Hivyo basi nawakaribisha wale wanaotaka kujifunza katika Program ya Mafunzo kwa Njia ya Mtandao.
Hii ni elimu isiyo rasmi (kwa maana ya kwamba hautapata cheti kinachotambulika katika mfumo wa elimu Tanzania), lakini ni elimu ambayo itaweka maarifa rasmi kichwani mwako ambayo unaweza ukayatumia kufanikisha mambo yako.
Maelezo zaidi yamo kwenye kipeperushi kilichoambatanishwa.