Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Hivi kidhungu kina nini ??. Yaani graph langu linashuka kwa kasi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Daahh Halafu siku hizi ni tabu kumkuta mtu anaandika freshAchana na watoto mchele mchele hao. Wamezoea kudekezwa, kwa hiyo hata andika yao ni ya kimideko.
Halafu utakuta ni wa kiume.
Daahh Halafu siku hizi ni tabu kumkuta mtu anaandika fresh
Wengi wanachukulia poa ila ukiwakuta katika academic issues wanaandika vizuri tu. Usasa tu unawaharibu wengiMimi nagombana na wadogo zangu kila siku kwenye group la family, na unakuta ni graduates kabisa.
Sijui hata report wanaandikaje.
Wengi wanachukulia poa ila ukiwakuta katika academic issues wanaandika vizuri tu. Usasa tu unawaharibu wengi
Hahaaaaa i'm not old school ila hizi new ways huwa zinanipa tabu kiasi mfano kutumia x kwenye s, Kutumia K badala ya ok.Hapo nakupata, bahati mbaya old schools tunakagua hadi SMS. Unaanza kum-judge mtu kwenye mwandiko, then content.
Hahaaaaa i'm not old school ila hizi new ways huwa zinanipa tabu kiasi mfano kutumia x kwenye s, Kutumia K badala ya ok.
Mimi huwa nasemwa nna gubu aisee mtu anayeandika ovyo ovyo naona uvivu sana kuchat naeHapo nakupata, bahati mbaya old schools tunakagua hadi SMS. Unaanza kum-judge mtu kwenye mwandiko, then content.
Utunzi wa sentensi kwa kila lugha hotofautiana na huwezi kutafsiri lugha kwenda lugha nyingine kwa kufikiri kwa lugha yako au kwa kufikiri kwa tamaduni yako. Kiheshima za tamaduni husika inabidi uulize swali kama wenye lugha watavyouliza. "Are you the first born in your family?" Na hata hapo inabidi uwe na mazowea ya ukaribu sana na unaemuuliza na akikuheshimu atakujibu yeye ni wangapi kuzaliwa, la sivyo anaweza kukushangaa kwa kumuuliza vitu vya familia yake. Wanajali sana "privacy".ukitaka kumuuliza mtu wewe ni mtoto wa ngapi kuzaliwa kwenu hapo kwa english inakuaje?
Ila kuna wazee hawapati tabu hasa wanaopenda kutoka na wenye rika dogo au wanaoshinda instagram. Automatically wanajikuta vitu vingi wanavijuaNi shida sana, unajikuta mpaka kichwa kinagonga kusoma SMS.
Ila kuna wazee hawapati tabu hasa wanaopenda kutoka na wenye rika dogo au wanaoshinda instagram. Automatically wanajikuta vitu vingi wanavijua
Mimi huwa nasemwa nna gubu aisee mtu anayeandika ovyo ovyo naona uvivu sana kuchat nae
asanteUtunzi wa sentensi kwa kila lugha hotofautiana na huwezi kutafsiri lugha kwenda lugha nyingine kwa kufikiri kwa lugha yako au kwa kufikiri kwa tamaduni yako. Kiheshima za tamaduni husika inabidi uulize swali kama wenye lugha watavyouliza. "Are you the first born in your family?" Na hata hapo inabidi uwe na mazowea ya ukaribu sana na unaemuuliza na akikuheshimu atakujibu yeye ni wangapi kuzaliwa, la sivyo anaweza kukushangaa kwa kumuuliza vitu vya familia yake. Wanajali sana "privacy".
Hata kuulizana umri tu kwa tamaduni za wazungu ni jambo lisilo pendeza.
Pls mkuu tuendelee na somo....IV.Present perfect continuous tense
View attachment 1107761
Tumeshasoma tayari " present perfect tense " . Sasa leo tuangalie " The present perfect continuous tense " .
Present perfect continuous tense - nyakati hii hutumika kuonyesha vitendo ambavyo vipo katika hali timilifu inayoendelea ( Yani
kitendo kilikuwa kimefanyika lakini katika hali ya kuendelea ) .
JINSI YA KUTENGENEZA SENTENSI ZA " PRESENT CONTINUOS TENSE " .
1. Kwa sentensi za kukubali / chanya
SUBJECT + HAS / HAVE + BEEN + MAIN VERB + ING
Ufafanuzi
MAIN VERB - Hiki ni kitenzi kikuu , kitenzi hiki tunaongeza ING mbele . Mfano : live / living , go / going , see / seing .
" Have " inatumika na I , You , We na They ( Nafsi ya kwanza umoja , na nafsi zingine isipokuwa nafsi ya tatu umoja )
" Has " inatumika na He , She na It.
Mfano :
I have been living here for 2 years
( Nimekuwa nikiishi hapa kwa miaka miwili ) .
She has been working here for 4 months .
( Amefanya kazi hapa kwa miezi minne )
2. Kwa sentensi za kukanusha / hasi
SUBJECT + HAS / HAVE + NOT + MAIN VERB + ING
Mfano : I have not been ......
3. Kwa sentensi za kuuliza maswali
HAS / HAVE + SUBJECT + MAIN VERB + ING
Mfano : Have you been.......
MIFANO ZAIDI .
I have been waiting for you 4 hours .
( Nimekuwa nikikusubiri kwa masaa
manne )
I'm tired because I have been running .
( Nimechoka kwa sababu nimekuwa
nikikimbia )
You have been talking to him since
morning .
( Umekuwa ukiongea nae tangu asubuhi )
It has not been raining.
( Haikuwa ikinyesha )
We have not been playing football .
( Hatukuwa tukicheza mpira )
You don't understand now because you
have not been listening
( huelewi sasa kwa sababu haukuwa
ukisikiliza .)
Have they been doing this work ?
( je , wamekuwa wakifanya kazi hii )
***************************
Hahaha Hata nimesahau kwa sasaKuhusu hilo sifahamu
Mimi huwa nasemwa nna gubu aisee mtu anayeandika ovyo ovyo naona uvivu sana kuchat nae
Je akiwa anaandika hovyo hovyo afu hela anazo bado utamsema