Jifunze Ubahili, itakusaidia kuepuka matumizi ya pesa ovyo

Jifunze Ubahili, itakusaidia kuepuka matumizi ya pesa ovyo

Mkuu tofautisha UBAHILI na UCHOYO.

Ni dhana mbili tofauti kabisa.

Huo unaousemea wewe ni Uchoyo na wala siyo ubahili.
Acha kuremba maneno
kicha cha habari ni kujifunza ubahili
Unajua maana ya mtu bahili wewe au unataka kupotezea watu muda
Mtu bahili kalaaniwana Mungu
 
Acha kuremba maneno
kicha cha habari ni kujifunza ubahili
Unajua maana ya mtu bahili wewe au unataka kupotezea watu muda
Mtu bahili kalaaniwana Mungu
Onyesha katika Vitabu vitakatifu (Qur'an au Biblia) ni katika aya ipi mtu bahili amelaaniwa na Mungu. Ili liwe somo kwa wote.

Huenda wewe ni muelewa sana. Ili tujifunze kwa pamoja.

Sijakulazimisha pia kusoma Uzi wangu, kama unaona unakupoteza muda close the thread and get a dress for the night.
 
Hakuna haja ya kutumia maji ya Chupa (kwa gharama kuanzia 500) wakati Kandoro yanapatikana kwa tzs 100....
 
Acha kuremba maneno
kicha cha habari ni kujifunza ubahili
Unajua maana ya mtu bahili wewe au unataka kupotezea watu muda
Mtu bahili kalaaniwana Mungu
Hamna mahusiano kati ya bahili na mchoyo

Matajiri wengi ni wabahili, je matajiri huwa hawatoi misaada?

Kama uchoyo ni kuja kwangu kunililia una kiu ya pombe, halafu mimi sikupi acha niitwe mchoyo (japo sometime natoa kwa washikaji, nimesema sometime)

Kama uchoyo ni kupanga matumizi ya nyumbani ya kuelekeza kipikwe chakula kinachotosha familia, lakini sio cha kusaza na kutupa .... Acha niitwe mchoyo.

Ubahili is simply intelligently spending, na kinyume chake ni kufuja ambayo ni emotional spending
 
Onyesha katika Vitabu vitakatifu (Qur'an au Biblia) ni katika aya ipi mtu bahili amelaaniwa na Mungu. Ili liwe somo kwa wote.

Huenda wewe ni muelewa sana. Ili tujifunze kwa pamoja.

Sijakulazimisha pia kusoma Uzi wangu, kama unaona unakupoteza muda close the thread and get a dress for the night.
akikujibu unitag mkuu
 
Acha kufundisha watu roho mbaya, unategemea utatajirika kupitia ubahiri, kanuni za utajiri haziwezi kuwa rahisi hivyo, ingekuwa hivyo wapare na wamasai wangetajirika
 
Back
Top Bottom