Kila bahili ni adui wa MunguUbahili ni moja ya nguzo muhimu Sana katika kufanikiwa.
Kuna mahali nimesema usitoe msaada au sadaka?b
Kila bahili ni adui wa Mungu
Haiwezekane ukaacha mtoto wa jirani afe njaa kisa unataka kufanikiwa,bora nisifanikiwe
Mkuu tofautisha UBAHILI na UCHOYO.Yaaani kwa mfano siwezi kumuina ndugu yangu anaadhirika nikamwacha. Tutagawana nilichonacho. Off couse hata kama ni kidogo. Kisichostahili ni kuwa tupatupa
Acha kuremba manenoMkuu tofautisha UBAHILI na UCHOYO.
Ni dhana mbili tofauti kabisa.
Huo unaousemea wewe ni Uchoyo na wala siyo ubahili.
Onyesha katika Vitabu vitakatifu (Qur'an au Biblia) ni katika aya ipi mtu bahili amelaaniwa na Mungu. Ili liwe somo kwa wote.Acha kuremba maneno
kicha cha habari ni kujifunza ubahili
Unajua maana ya mtu bahili wewe au unataka kupotezea watu muda
Mtu bahili kalaaniwana Mungu
Wapareeeee!Hii ndiyo point kubwa. Siyo kila moja anaweza kuwa bahili !! Ni roho anayozaliwa nayo mtu
Cha kushangaza Hata hao wahitaji hawasaidiwi Ila ikitokea michango ya harusi mnajitoa kweli... Hakuna kitu kinanikeraga Kama hichooob
Kila bahili ni adui wa Mungu
Haiwezekane ukaacha mtoto wa jirani afe njaa kisa unataka kufanikiwa,bora nisifanikiwe
Hamna mahusiano kati ya bahili na mchoyoAcha kuremba maneno
kicha cha habari ni kujifunza ubahili
Unajua maana ya mtu bahili wewe au unataka kupotezea watu muda
Mtu bahili kalaaniwana Mungu
[emoji87] [emoji87] [emoji87]Hakuna haja ya kutumia maji ya Chupa (kwa gharama kuanzia 500) wakati Kandoro yanapatikana kwa tzs 100....
Huyu ameingilia mlango wa kutokea kazi zetu anataka afanye yeye πππ.Hiyo fani waachiwe wapare
akikujibu unitag mkuuOnyesha katika Vitabu vitakatifu (Qur'an au Biblia) ni katika aya ipi mtu bahili amelaaniwa na Mungu. Ili liwe somo kwa wote.
Huenda wewe ni muelewa sana. Ili tujifunze kwa pamoja.
Sijakulazimisha pia kusoma Uzi wangu, kama unaona unakupoteza muda close the thread and get a dress for the night.
Hakuna haja ya kutumia maji ya Chupa (kwa gharama kuanzia 500) wakati Kandoro yanapatikana kwa tzs 100....