Jifunze Ubahili, itakusaidia kuepuka matumizi ya pesa ovyo

Ubahili ni tabia moja katika tabia zangu ambazo najivunia.

Life gets easier ukijua namna ya kujipangia namna ya kutumia Na kuiheshimu hela.
 
Ubahili bila akili za kibiashara ( sio study of colonialism😆😆) ni hewa kabisa. Ila mleta mada ameeleza vizuri hofu yang kuna watu hawatakuelewa pamoja na kutoa mifano mingi.Ila hapa kwenye TV umeteleza kidogo yaan nilipe king'amuzi kwa mwezi halafu niangalie taarifa ya habari tu? Lakn pia TV haimaliz umeme Sana.Otherwise MLETA MADA chukua Juice ya Unga ( ubahili 🤣🤣) nakuja kulipa 😊😊😊😊.
 
Je jinsi ya kuacha ubahili? Watu wanalalamika mimi ni bahili wa kutupwa, halafu cha kushangaza hata sijui ubahili wangu upo wapi. Sielewi kabisa. Naona kubana matumizi ni japo la kawaida kabisa.
 
tumia pesa ikuzoee
 
Aisee.. huo ubahili mpaka kwenye kutumia TV? Acha nisiwe na hela tu
 
Ndugu zangu kufulia kusikieni tu. Kama ushawahi kula msoto in a certain time in ur life utanielewa.

Haya maisha kila kitu ni hela. Ukipata sehem unapiga kipato kizuri, hold on tight.
Right 100%
 
Tatizo mleta uzi ametumia neno bahili ambalo kwa tafasiri ya sisi watz tunadhani ni uchoyo. Labda ingekuwa lugha ya malkia mleta mada angetumia Good money management/control au Good financial management/control. Ni mada nzuri sema kwa vile sisi waafrika hatuna mazoea mazuri ya kutumia fedha kwa mambo ya msingi na kuweka akiba ndio maana tunaona huu uzi kama vile unahusu uchoyo.
 
Sawa kabisa maada ina maudhui mazuri sana ila topic haiko vizuri
 
Mwaka 2019 nataka nijifunze ubahili. Nisevu mpaka kibubu kijae. Ewe mwenyezi mungu nisaidaie
 
Reactions: Eco
alafu ukianza kuharisha,unaenda hospitali unatumia zaidi ya elfu 50..hiyo inaitwa unaziba mbele wakati nyuma unaachia...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ni ujinga mnoo
 
Acha kufundisha watu roho mbaya, unategemea utatajirika kupitia ubahiri, kanuni za utajiri haziwezi kuwa rahisi hivyo, ingekuwa hivyo wapare na wamasai wangetajirika
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…