Jifunze ufugaji wa kuku bure

Jifunze ufugaji wa kuku bure

chamilitary

Member
Joined
Jan 30, 2015
Posts
24
Reaction score
4
Poultry farming is one of the most profitable type of farming.
Many have made millions from this venture.
I can help you to start & run this type of farming for FREE.
I walk with you in every step & am always there to offer consultancy services of any kind,all the time.
Please talk to me +255654613488

ufugaji wa ndege(hasa kuku) ni moja ya ufugaji wenye faida sana.
wengi wametengeneza mamillioni kupitia mradi huu,
ntakusaidia kuanzisha na kuendesha bila gharama yeyote.
ntakuwa nawe katika kila hatua & mda wote ntakuwa tayari kutoa ushauri.
tuwasiliane 0654613488
 
nihitaji kuku wazazi jozi Kumi unaweza nishauri pakuwapata
 
chukua namba hizi 0756641810/0688641810/0716588901 uliza urio farm
 
Haya mafunzo nayatoa kwa njia kama ifuatavyo
Nakutumia audio whatsapp usikilize
Unaweza piga simu
Au email
Mimi ni mtaalamu masuala ya mifugo hasa kuku na pia nina uzoef
 
Pia naweza kukuunganisha na wauzaji wa vifaranha bora waliopata chanjo za muhimu na bora
 
Napatikana Morogoro na Arusha ila nakuja dar on special request
 
Poultry farming is one of the most profitable type of farming.
Many have made millions from this venture.
I can help you to start & run this type of farming for FREE.
I walk with you in every step & am always there to offer consultancy services of any kind,all the time.
Please talk to me +255654613488

ufugaji wa ndege(hasa kuku) ni moja ya ufugaji wenye faida sana.
wengi wametengeneza mamillioni kupitia mradi huu,
ntakusaidia kuanzisha na kuendesha bila gharama yeyote.
ntakuwa nawe katika kila hatua & mda wote ntakuwa tayari kutoa ushauri.
tuwasiliane 0654613488

Ndege wa aina gani?
 
Nataka kuanza hii biashara naomba gharama za awali kabla ya kuku kuanza kutaga mayai pia aina ya kuku bora wa mayai kuku wa kiyenyeji na wa kisasa ni wapi wenye gharama nafuu ya utunzaji na wanatoa mayai mengi.
 
Gharama inategemea na idadi na aina ya kuku wenyewe
Ningekushauri kuku wa kienyeji au chotara
 
Poultry farming is one of the most profitable type of farming.
Many have made millions from this venture.
I can help you to start & run this type of farming for FREE.
I walk with you in every step & am always there to offer consultancy services of any kind,all the time.
Please talk to me +255654613488

ufugaji wa ndege(hasa kuku) ni moja ya ufugaji wenye faida sana.
wengi wametengeneza mamillioni kupitia mradi huu,
ntakusaidia kuanzisha na kuendesha bila gharama yeyote.
ntakuwa nawe katika kila hatua & mda wote ntakuwa tayari kutoa ushauri.
tuwasiliane 0654613488
if you dont mind tuwasilane kwa whatsaap no 0764111188 , naweza pata utaalamu na namna ya kufuga mabata nimeanza lakini pasua kichwa kweli kweli, au kama una source material ya ufugaji bata
 
Back
Top Bottom