farmersdesk
Senior Member
- May 26, 2012
- 164
- 125
* MATUMIZI YA CHANJO KWA KUKU*
👉Kwanza Kabisa ifahamike chanjo Kwa kuku sio chaguo ni lazima kwa usalama wa KUKU wako
👉Pia kuchanja kuku sio Kwa vile unavojiskia Ila Kwa Ratiba maalumu inayowekwa kutokana na umri wa kuku
HATUA ZA KUFUATA ZA KUTUMIA CHANJO IPASAVYO
👉Nunua chanjo, kama inahitaji ubaridi hakikisha umefungiwa kwenye kifungashio Chenye barafu.
👉Safisha vyombo vya maji vya kuweka chanjo yako na ikifaa viache vikauke.
👉Kwa maji ya BOMBA, KISIMA NA MVUA, inashauriwa yachemshwe na uyaache yapoe kabisa ndipo utachanganya na chanjo.
👉Iwapo UTATUMIA vidonge vya kutibu maji MFN CEVAMUNE, CHLOREX BLUE, VACC-SURE nk. Utatakiwa kuloweka kidonge kwenye maji yasiyo na chanjo na changanya vizuri Kwa kifaa cha plastic,
👆Acha maji hayo yakae Kwa dakika 15-30 kisha changanya na chanjo yako.
👉Kama utatumia maziwa SKIMMED MILK weka grap 2 Kwa Lita moja ya Maji changanya vema na uache Kwa dakika 30.
UFUNGUZI WA CHANJO
👉Kwa chanjo za Kuchanganya kwenye maji, Utakiondoa kichupa Chenye chanjo kwenye barafu yako au Friji
👆Utatakiwa kufungua chupa hiyo yenye kidonge cha chanjo ikiwa ndani ya Maji ambayo umesha yaandaa Kwa Kuchanganya chanjo yako.
👆Ukigungua koroga maji vema kuhakikisha chanjo imeenea kwenye maji
👆Wape kuku wako wanywe Kwa Muda WA masaa mawili.
👆Ondoa maji ya
chanjo na uoshe vyombo vyako, kisha weka maji ya kawaida kuku waendelee kunywa.
KWA CHANJO YA NDUI
👆Fungua chupa yenye maji ya Kuchanganya kwenye kidonge
👆Kisha Fungua chupa yenye kidonge
👆Kisha mimina maji ya Kuchanganyia kwenye kidonge cha chanjo na utikise kilainike
👆Anza kuchanja kuku wako
Nimejaribu kutoa machache Kati ya mengi yanayotakiwa kufuatwa kufanya chanjo KIUSAHIHI
Ungana na familia ya wafugaji kupitia
1.TELEGRAM tafuta neno "farmers desk" kisha jiunge
2.INSTAGRAM KAMA @farmersdesk_tanzania