Makungu charles
Member
- Feb 4, 2025
- 22
- 22
DEFLECTOR :Hii ni sehemu ya kichwa cha piston iliyochongoka au kujitokeza kwa juu.
ZIFUATAZO NI KAZI ZA DEFLECTOR KATIKA PISTON.
- Kuwezesha mchanganyiko uliokwisha kuunguzwa kutolewa nje kwa kasi.
- Kuongeza uwiano wa mgandamizo (Compression Ratio).