Jifunzeni kwa Idd Amin Dada

Jifunzeni kwa Idd Amin Dada

Ndio,
Mfano mzuri ni Muammar Mohammed Abu Minyar Gaddafi aliwafanyia Libya vitu vingi vizuri,
Pia alikuwa Rafiki Mkubwa wa Idd Amin Dada.
no-8-moammar-khadafy.jpg
 
Mwenye Enzi Mungu atuongoze milele yote Amen RA
 
MNA aminishwa tuu, alicho waibia walibya ni kikubwa kuliko alicho wafanyia, Libya ni nchi tajiri sana.
Ahaa!
Waweza kuwa upo sahihi,lakini waweza kutoa ufafanuzi kidogo kuhusu hilo unalodai Wewe.
 
Tafuteni hotuba za Adolph Hitler. Nguvu alizokuwa anatumia kuongea kama vile mkulima anayepiga jembe. Jambo dogo anakiongelea kwa nguvu nyingi sana.
Achana na huyo, tafuta ya dikteta Mussolin, aisee madikteta sana strong language hatari, kwa Afrika nadhani alikuwa Col. Gaddaf na sasa amebaki Mugabe ingawa sio mtata sana.
 
unajua alizikwaje, Rais unazikwa kama wale wa ruvu
huyo ana familia na watoto kibao hapo,kazikwa kimya kimya ila kikawaida haikutakiwa kuanza kuweka attention na kuwakumbusha watu machungu waliyopitia
 
Back
Top Bottom