Jihadhali na matapeli hawa hapa

watakwambiaje umeshinda bahati nasibu ukiwa ujawahi hata kushiriki?
kama sio utapeli
 
asante kwa kutufumbua macho maana watu wanaganga njaa kupitia mifuko ya wenzao kwa kuwatapel
asante nitakuwa makini na sms feki za kitapeli asante kwa kutujulisha rafiki
 
mimi waliwahi kunitumia hiyo email wakaomba account no nikawatumia account ya OC ya mkurugenz wa halmashauri yetu sasa sijui waliiba watajua wenyewe
 
mimi waliwahi kunitumia hiyo email wakaomba account no nikawatumia account ya OC ya mkurugenz wa halmashauri yetu sasa sijui waliiba watajua wenyewe

hahahahahaha! hapa kazi ipo...kama kweli wanawezaiba kwenye akaunti ya OC watakuwa mafundi sana.
 
Ndugu zangu, kila mtu achukue tahadhari kwa binafsi yake kwa kuwa vyombo vya usalama vya serikali viko busy na wanasiasa...raia tumeachwa solemba kama kondoo wapotevu. Na hao TCRA ndio ovyo kabisa....sio wa kutegemewa hata kidogo. So kila mtu achunge mzigo wake kivyake.
 
Last edited by a moderator:
Asante sana kwa taarifa mkuu, maana mimi mwenyewe nimetumiwa meseji inayosomeka +15092142532: Your mobile # Has won 1,000,000 dollars in T.MOBILE PROMO USA, to claim send your name, phone number,Age,address,Job,sex to Robert Email:tmbus@outlook.com.
Wazee tujihadhari sana na haya majizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…