Jihadhari na Airtel Money!!

Jihadhari na Airtel Money!!

Kwetu Iringa

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2011
Posts
355
Reaction score
89
Hodi wanaJF!!

Pamoja na kujitangaza sana kuwa wanasafirisha pesa bila malipo, system nzima ya airtel money haijatulia. Ukiitumia, it is at your own risk! Kama huamini, ijaribu ikiwa pamoja na kununua umeme.

Source: Rafiki yangu anayefanya kazi Airtel Money
 
Bora wangecharge huduma zao kuliko bure yenye matatizo!!
Cheap is expensive!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Hii si sehemu ya kuleta habari za kusikia, Mimi ninatumia airtel money kutuma pesa, nimeshatumia Mara kadhaa kwa kununua Luku, sijapata tatizo lolote, yatakuwa mambo ya technologia yanamsumbua rafiki yako
 
Back
Top Bottom