Pamoja na kujitangaza sana kuwa wanasafirisha pesa bila malipo, system nzima ya airtel money haijatulia. Ukiitumia, it is at your own risk! Kama huamini, ijaribu ikiwa pamoja na kununua umeme.
Hii si sehemu ya kuleta habari za kusikia, Mimi ninatumia airtel money kutuma pesa, nimeshatumia Mara kadhaa kwa kununua Luku, sijapata tatizo lolote, yatakuwa mambo ya technologia yanamsumbua rafiki yako