Jihadhari na makampuni ya Kitanzania yanayoagiza magari

Watu wanatapeliwa nyie mnakalia uzawa uzawa. Kwani mimi uliyenitapeli sio mzawa?

Nyie ndio wale mnashirikiana nao mpo kwenye group za whatsapp mnajaza watu upepo....

Pathetic....
Kwenye magroup ya whatspp na FB ndio kuna makampuni ya waagizaji wa magari nani asiejua kumejaa utapeli na sio wa magari tu bali kunautapeli wa kila aina na sio hapa Tanzania tu bali ni sehemi kibao Dunia pia wanaotapeliwa kupitia kwenye magroup ni washamba tatizo hapa ni kichwa cha habari kinaonyesha nia yako kwa makampuni ya ndani kuwa sio mzuri pia na mtazamo wako pia kwa makampuni ya ndani sio mzuri.
 
Kwani hata wakiwa na website si watakupa contact na mwishowe wataanza kuwasiliana na wewe through whatsapp? Na ofsini utapelekwa na kupigwa utapigwa.... Haki yako unaweza ipata ila kwa ubabaishaji...

Tapeli ni tapeli na wabongo wengi ni matapeli...

We angalia aina za magari yote kilomita ni chini ya 60,000. Wizi tu.
 
Hata wakina Beforwad na Autocom ni makampuni yanayo deal na magari ya ajali, mafuriko na grade za chini sana. Ndio maana gari zao ni Cheap

Mwenye rating ya gari za grade ya juu sana na watanzania wengi hawanunui huko ni enhance-auto.jp hao wana gari chache lkn za bei mkasi Na za ubora, kwasababu wanauza grade nzuri sana.

Enhance gari zao huwez kuta za ajali, au zenye kutu. Ingia hata kwa website yao uone bei na quality ya gari na mara nyingi wanaweka auction sheet wazi.

Ila akina bi-mbele[emoji38][emoji38] kama kawa kama dawa sema ni waaminifu ila gari zao ni choka mbaya
 
Wabongo wengi hata zilizopata ajali hawana na pesa yako nyingi wakutapeli wewe huoni tofauti?
 
Ukweli ni kwamba Iliuweze kufanya biashara ni lazima usome soko linatakaje, ukifanya kinyume na matakwa ya soko magari yako au bidhaa zako utapiganazo picha nfano mzuri nenda kariakoo makampuni kama Panasonic, Philips, Hitachi, Honda, shap ... bidhaa zao ni adimu sana kwasabu wateja wanaangalia bidhaa za bei nafuu bila kuangalia ubora wa bidhaa .

Wanunuzi wengi wanatafuta magari ya bei chee ukiweka magari yenye viwango kwenye tovuti yako baadhi ya wateja watakuona mwizi kutona na uelewa ndogo ndio maana Makampuni mengi ya Wajapan na wazungu wanatafuta masoko ulaya na nchi zingine kutokana na changamoto kama hizi, bidhaa nynigi tunazouziwa Africa viwango vyake vinautata bora used ulaya kuliko bidhaa mpya.

Baada ya kugundua changamoto za bei na viwango tukaweka huduma ya mteja kuagiza bidhaa au gari lenye grade nzuri kwa gharama nafuu sana nfano unataka gari lenye grade mzuri mteja wetu anaweka order tunamshirikisha kwenye mchakato mzima baada ya manunuzi kukamilika mteja atalipia gari lake kwa bei za kawaida .
 

Unatumia nguvu nyingi. Ueleweki unachotuzungumza. Sijawai kua na mjadala na wewe
 
Umesoma huo uzi au umeweka link tu? Kaibiwa vifaa gari likiwa wapi?
 
The same ina apply hata kwa beforward lazima upewe vehicle inspection sheet na ujue grade ya gari yako....

Tofauti ya beforward na hawa wabongo wa instagram ni kuwa hawa wabongo ni madalali juu ya madalali yani wanakununulia gari kwenye hizi hizi site za kina beforward na kuweka cha juu....
 

Jamaa wapo vizuri
 
Unatumia nguvu nyingi. Ueleweki unachotuzungumza. Sijawai kua na mjadala na wewe
Mkuu nilikuonya nilikuambia hii gia unayotumia kutangaza Be forward na SBT sio gia mzuri ukaniambia na mimi ni walewale matapeli angalia sasa nani tapeli watu wanazidi kuleta ushahidi ngoja tuone mwisho wake utaukimbia huu uzi kijana.
 
Mkuu nilikuonya nilikuambia hii gia unayotumia kutangaza Be forward na SBT sio gia mzuri ukaniambia na mimi ni walewale matapeli angalia sasa nani tapeli watu wanazidi kuleta ushahidi ngoja tuone mwisho wake utaukimbia huu uzi kijana.
Ushahidi uko wapi?
 
Hawa jamaa ukiwachunguza vizuri uwezi kuagiza gari kwao Be forward wanatamaa sana ya pesa ni kweli sio wajapani hizi ni tabia za wahindi wanataka kufanya biashara zate za Dunia hii, wanauza magari wanauza viwanja wanauza nyumba wanauza spare wanauza madini kila biashara wanataka wafanye wao kha ni watu nanamnaga hawa?
 
Mkuu nilikuonya nilikuambia hii gia unayotumia kutangaza Be forward na SBT sio gia mzuri ukaniambia na mimi ni walewale matapeli angalia sasa nani tapeli watu wanazidi kuleta ushahidi ngoja tuone mwisho wake utaukimbia huu uzi kijana.

Sasa mimi inanihusu nini kukimbia au kutokimbia uzi. Huwezi nionya maana we si mzazi wangu. Siko kutangaza kampuni ya mtu. Kama unaona wewe ni tapeli ni sawa.

Jifunze kujitegemea. Sipo mitandaoni kubishana, naamua jambo gani jibie au nisijibu.
 
Ni kweli wapo Waadilifu ila changamoto ni jinsi ya kumtambua huyo muadilifu miongoni mwa wengine.

Ni kama kucheza kamari, upate au ukose.
 
Ila haya yanafanyika kwasababu na taasisi zetu za serikali ni corrupt
 
Ungefuatilia mjadala huko juu kabla ya comment hizo mbili ungeelewa kwa nini nmemjibu hivyo.

Tafadhali jitahidi kusoma ya juu kabla ya kudandia treni katikati.

Nichafue kampuni ili iwaje? Je umeona nimetaja kampuni yoyote kuhusu utapeli?
Achana nao hao mkuu, naona wanahisi unawafungua watu macho.Ignore them. Wenye shida ya kujua elimu hiyo tunaona chuya na mchele.
 
Watu wanatapeliwa nyie mnakalia uzawa uzawa. Kwani mimi uliyenitapeli sio mzawa?

Nyie ndio wale mnashirikiana nao mpo kwenye group za whatsapp mnajaza watu upepo....

Pathetic....
Mkuu, achana nao hao. Pia shukrani kwa elimu hiyo, nimejifunza kitu.
 
Mkuu, Nikiwa na Chasis number...naweza kujuaje kama gari lipo ama laah! naSearch wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…