Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Hawa jamaa kama wamepona wana Mungu sana. Mara zote tunakumbushana kuwa Highway sio sehemu ya mchezo. Hii overtake ambayo inafanywa kwa mtindo wa "Tailing" madhara yake ni kuwa hutaona mbele na wa mbele yako ni rahisi sana kukuuza. Keep your heads up, make sure unaona mnyooko ndio unatoa gari.