Huyo anayerecord si yupo ndani ya hiohio gariKwanza alikuwa anaongea na simu, akagonga gari la mbele ambalo liliona hatari kwa mbele likafunga breki za ghfla. Kisha akatanua! Alichokipata tunaomba Mwenyezi amnusuru kama yu hai.
Hapa suala la udereva wa kujihami haukuwepo kabisa.
Huyo alokua ananyosha kidole na baadhi wa nyuma yake hawawezi pona maana wamepigwa double kick, labda derevaHawa jamaa kama wamepona wana Mungu sana. Mara zote tunakumbushana kuwa Highway sio sehemu ya mchezo. Hii overtake ambayo inafanywa kwa mtindo wa "Tailing" madhara yake ni kuwa hutaona mbele na wa mbele yako ni rahisi sana kukuuza. Keep your heads up, make sure unaona mnyooko ndio unatoa gari.
Kabla huja overtake jiulize, kwanini naovateki? Je mbele naona vizuri umbali gani? Je mistari inaruhusu kuovateki?Hawa jamaa kama wamepona wana Mungu sana. Mara zote tunakumbushana kuwa Highway sio sehemu ya mchezo. Hii overtake ambayo inafanywa kwa mtindo wa "Tailing" madhara yake ni kuwa hutaona mbele na wa mbele yako ni rahisi sana kukuuza. Keep your heads up, make sure unaona mnyooko ndio unatoa gari.
Hawa jamaa kama wamepona wana Mungu sana. Mara zote tunakumbushana kuwa Highway sio sehemu ya mchezo.
Iwapo dereva angekuwa makini, na kuangalia japo taa ya gari ya mbele yake, japo ali_overatake kimakosa, still angeweza kupunguza mwendo, na kuwa salama /kurudi upande wake sahihi.mbele yako ni rahisi sana kukuuza.