Jihadhari na wanaume wa Kikongo/ Kizaire

Jihadhari na wanaume wa Kikongo/ Kizaire

Nazjaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2011
Posts
7,730
Reaction score
9,088
Hawa wenzetu wanapenda sana vya bure, na kudandia wanawake wenye uwezo.

Ukiwa naye utamnunulia vipodozi, nguo tena hadi ndani, atakuomba na hela ya daladala na ya kula pia.

Unampendezesha wewe, anaenda kula raha na wanawake wengine, yaani hawaridhiki, sijui wana nini?

Haya yamemkuta mfanyakazi mwenzetu, alihonga hadi gari kwa mzaire. Mzaire muda wote yuko bize kwenye gari na mabinti wa Biafra sekondari
 
ndo mkome, umebaki ww.. Utaonga mpka nymba mnafkili wazaire wanatofaut gan na wamasai kwann mcwaonge hao ata baiskeli tu..
 
anahonga hadi gari kwani alikuwa anamlamba tundu la kinyesi?mtakufa na mingono yenu ya kuhonga

mwanamke akijiweza anawezesha. Usione gere hata we ukitaka matunzo useme tu
 
ndo mkome, umebaki ww.. Utaonga mpka nymba mnafkili wazaire wanatofaut gan na wamasai kwann mcwaonge hao ata baiskeli tu..

kama huwajui wamasai kaangalie white masai
 
Kwanza mijitu yenyewe haitaki hata kufanya kazi

unataka kupendeza kazi akufanyie nani..........nyambafu zao

kazi kwao wanaoingia nao mkenge...mi hua nawaepuka kabisa
 
Wanawake mnawapendea nini hawa Wazaire mimi nawaonaga washamba.
 
Wanawake mnawapendea nini hawa Wazaire mimi nawaonaga washamba.
Obviously, 3rd leg na usharobaro wa uvaaji wa 'mosi kitoko' na lafudhi..na general perception ya kudharau vya kwao na kubabaikia wageni.
 
huyo dada nae alikuwa hajui? wazaire/ wacongo ni matapeli wa mapenzi.
 
they are my heroes lol

kwa jinsi wadada wa kitanzania wanavyonyanyasa waume zao malofa,sawa sawa tu
 
Dada zetu wengi wlaliokuwa Ughaibuni wamelizwa sana.Wameachwa na madeni makubwa benk ,credit card na mikopo
kwenye maduka.
 
Kwanza mijitu yenyewe haitaki hata kufanya kazi

unataka kupendeza kazi akufanyie nani..........nyambafu zao

kazi kwao wanaoingia nao mkenge...mi hua nawaepuka kabisa

Kama kuna mcongo/mzaire au mwanamke yeyote anaetoka na hawa watu, alafu ameisoma hii comment, basi natumai huu ujumbe umemuingia vilivyo!!
 
Obviously, 3rd leg na usharobaro wa uvaaji wa 'mosi kitoko' na lafudhi..na general perception ya kudharau vya kwao na kubabaikia wageni.

mi nafikiri ushamba unawasumbua hawa dada zetu.
 
Back
Top Bottom