JIHADHARI: VODACOM wajanja night offer ni 1GB...

Lusungo

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
28,259
Reaction score
41,416
Habari wakuu kwa wale mnaotumia huduma za Vodacom

Mtandao huu wa biashara sasa wamekuwa wahuni, unaponunua kifurushi cha usiku (wajanja night) wanakwambia ni unlimited ingawa si kweli.

Uhalisia ni kuwa wanakupa 1 GB then baada ya hapo utakatwa mi nimeliwa 2000 usiku huu!! nimewapigia wakanipa ukweli huo hivyo jamani kifurushi cha wajanja night offer ni only 1GB mwenye masikio na asikie.

TUNAHITAJI HUU UTAPELI UKOMESHWE UKIONA BANDIKO HILI MWARIFU NA MWENZIO
 
kweli kabisa ni waongo!!! na wakati mwingine net inasumbua sana
 
Tatizo ni pale kampuni inapoiba kwa niaba ya mafisadi waliosheheni ndani ya dola na chama twawala!
Hatuna tena pa kukimbilia labda serikali nzima ipigwe chini katika uchaguzi ujao!! Aaargh; mbona inatisha, yaani serikali hii ya CCM; uuzaji wa madawa ya kulevya nambari wani, umalizaji wa gari na tembo wetu nambari wani, wizi hadi Benki Kuu! Na sasa tumewaweka kina Mwigulu na yule dada kada wetu kama viranja wa kile kihenge....subirini mshuhudie EPA bab kuuubwa kuliko ile ya cha mtoto ya 2015!
 
tatizo husomi message mpk mwisho mbona msg inajieleza kabisa kuwa umepewa 1 gb ila kwa vile ulikariri ukiona msg imeingia hongera umeunganishwa na kifurushi.... basi unatumia tu. me niligundua siku ya kwanza tu walipoanzisha tena ilikuwa Jan mwishoni hivi.
 
Hata tigo waongo,bora hata voda wanakupa 1gb,tigo ni mb 100 afu wanakwamia unlimite
 
Ila si Haba kulikoni wangeifuta kabisa. Mimi Huwa nnachagua Movie Moja online nnaitaza. Nikiwa na kazi kubwa basi naunganisha laini zangu Mbili nnakuwa na 2GB kwa Tsh1000. Wakati ningenunua kwa wazee wa smile ingekuwa Tsh50,000 kwa 2GB.

Vodacom tufikirieni Mtuongezee walau 3GB kwa 1000 Wajanja Night.
 
Huwezi ukasema matapeli wakati ukijiunga wanakutumia msg inayojieleza kabisa kwamba umepewa GB 1
 

ishu hapa ni uongo na ulaghai wanaoutumia why saying unlimited wakati unapewa 1GB only"""!"!!!!!!
 
Nyie mnakesha kama popo sanasana movies tu na ku download vitu vya ajabu.

Ila me nlikua na download miziki mpaka mia movie ndo usiongee ila sio kali kama za kulipia asubuhi umechoka kama we ndo drive ya computer.
 
Kipindi ni unlimited nilikuwa natumia smart phone yangu alafu naunga kwenye laptop kwa Wifi uspime kwenye phone na download musics na videos kwenye laptop napakua movies huku nacheki dah!!

Nilikuwa na mikesha miwili kwa wiki walipoleta 1gb nimeamia zangu tigo sfanyi mikesha tena isiyokuwa na maombi.
 

Mbona muda mrefu tu walishasema au wewe unaponunua husomi maelezo ya kila step?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…