Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 28,259
- 41,416
Habari wakuu kwa wale mnaotumia huduma za Vodacom
Mtandao huu wa biashara sasa wamekuwa wahuni, unaponunua kifurushi cha usiku (wajanja night) wanakwambia ni unlimited ingawa si kweli.
Uhalisia ni kuwa wanakupa 1 GB then baada ya hapo utakatwa mi nimeliwa 2000 usiku huu!! nimewapigia wakanipa ukweli huo hivyo jamani kifurushi cha wajanja night offer ni only 1GB mwenye masikio na asikie.
TUNAHITAJI HUU UTAPELI UKOMESHWE UKIONA BANDIKO HILI MWARIFU NA MWENZIO