asc
Member
- Feb 15, 2024
- 12
- 6
Hasa yeye alikuwa ni nabii wa ukingoni, yaani kwa kizazi hiki. Yeye ni nabii wa mwisho wa kimataifa,ndiyo maana halisi ya malaki 4, maana yake hakutakuwa na nabii mwingine tena kama akina eliya, ni kwamba hapa sasa tupo katika wakati wa mabaki ya mwisho maana mjumbe alishatangulia mwaka 1965… ni bado tu mambo machache sana kutukia ili unyakuo(rapture) utokee,na si wakati mrefu sana kwa maana saa yetu ni Israeli,pale ambapo tukakapoona helkalu linasimaishwa mahali pake(chukizo la uharibifu litakapoondolewa) sijajua sana ila kama ukiyashuhudia hayo huenda utakuwa umechelewa sana... Tazama ndugu, yeye haabudiwi,wala haipaswi kumtukuza yeyejapo wapo waliokengeuka na kufanya hvyo, hayo ni makosa... Ila hakika ule ujembe aliokuja nao ulitoka kwa Mungu,wala usiangalie yeye alifanya nini,ila amini tu yale aliyohibiriBranham amekufa 1960s kwa ajali, hadi leo dunia imeshaisha? ili tujue pengine yeye alikuwa nabii wa ukingoni.