Jihadharini na matapeli wanaotoa Internet Kitonga

Hivi bado kuna makenge yanatapeliwa mpaka leo hii?...🤔🤔🚮
 
Habari zenu jamani! Mimi kuna rafiki yangu kanipigia leo akilia sana kwa sababu katapeliwa na hii account inaitwa @unlimited_bundlez instagram. Namba yake ya simu ni 0698128458. Mkiiona hio account na namba nawaombeni msijaribu kufanya mawasiliano na hio namba. Ili kujihadhari na watu kama hawa

1. Hakikisha ana kutumia huduma kwanza. Hii huwa wanabisha sana

2. Sikiliza kauli za mtoa huduma. Wale spiritualist wanakuambia watu wana low vibration basi wanamakasiriko pro max.

3. Bidhaa ikionekana cheap, ujue kuna shida automatically

Mengine, wanajamii forum watajiongeza zaidi kwenye uzi.

Tatizo lugha au nini? Umeambiwa Unlimited bundle hizo GB zilizowekwa hapo zinakazi gani? Sasa?
 
Habari zenu jamani! Mimi kuna rafiki yangu kanipigia leo akilia sana kwa sababu katapeliwa na hii account inaitwa @unlimited_bundlez instagram. Namba yake ya simu ni 0698128458. Mkiiona hio account na namba nawaombeni msijaribu kufanya mawasiliano na hio namba. Ili kujihadhari na watu kama hawa

1. Hakikisha ana kutumia huduma kwanza. Hii huwa wanabisha sana

2. Sikiliza kauli za mtoa huduma. Wale spiritualist wanakuambia watu wana low vibration basi wanamakasiriko pro max.

3. Bidhaa ikionekana cheap, ujue kuna shida automatically

Mengine, wanajamii forum watajiongeza zaidi kwenye uzi.
Hata mimi kanipiga
 
Back
Top Bottom