Siku hizi makato ya simu yamekua makubwa mno inabidi yapitiwe upya.Kama kichwa cha habar apo juu kinavyonieleza, kuna offa intangazwa na tigo ukitoa hela na kuituma unapata 20,000 huo ni wizi mtupu nakushauri usijaribu kufanya ivo utambulia makato ya elf 8 na kupewa elfu 2 tu.
Sasa hio offa yao imelenga kujikusanyia pesa tu nasio kutoa pesa kama wenyewe wanavyoiita ni offer.
Kwani wewe upo tayari kupata hasara katika biashara yako?Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyonieleza
kuna ofa intangazwa na tigo ukitoa hela na kuituma unapata 20,000 huo ni wizi mtupu nakushauri usijaribu kufanya hivo utambulia makato ya elfu 8 na kupewa elfu 2 tu.
Sasa hiyo ofa yao imelenga kujikusanyia pesa tu nasiyo kutoa pesa kama wenyewe wanavyoiita ni offer.
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyonieleza

Yes, there is no free lunch. Pay first, enjoy your service.There ain't no such a thing as a free lunch!
Yani unaanza tu kupewa 20K kizembe?muwe mnajiongeza
Mimi nadhan ww bado uko nyuma , jarbu kuuliza wenzako au fanya utafitiAcha uzushi.. hakuna offer kama hiyo mtandao wowote wa simu.. leta ushahidi sio unaleta maneno kuchafua biashara za watu.
Unataka kusema TCRA hawajaona wewe ndio umeona.
Watanzania tuwe wakweli
Mode angalia nyuzi kama hizi mzirekehishe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo watu wabishi,na vyuma vilivyokaza hivi utarajie 20K kutoka tigo?Yes, there is no free lunch. Pay first, enjoy your service.
Nilikumisi sana...Joanah.
Waache kupenda mtelezo. I hate hating people ila nikiona mtu anapenda vya bure huwa nammaindi sana.
Tatizo watu wabishi,na vyuma vilivyokaza hivi utarajie 20K kutoka tigo?
Nipo hapa sasa RAYAN THE DON ,nilikumiss pia
Ahsante sana kwa uwepo wako...Joanah.
Hakika nimepata nguvu maradufu ya kupambana na Korona.
Karibu.Asante pia
Stay safe
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyo jieleza.
Kuna ofa intangazwa na tigo ukitoa hela na kuituma unapata 20,000 huo ni wizi mtupu nakushauri usijaribu kufanya hivo utambulia makato ya elfu 8 na kupewa elfu 2 tu.
Sasa hiyo ofa yao imelenga kujikusanyia pesa tu nasiyo kutoa pesa kama wenyewe wanavyoiita ni offer.
Hahahaha style ya rasi simba kabisaLile Tangazo Ni Kama la Ras Simba tu.Watoe Lile neno "Mpaka" elfu ishirini.Waseme tu utapata elfu 20 siyo kiasi Mpaka elfu 20
Sent using Jamii Forums mobile app