MUBIKU
JF-Expert Member
- Oct 24, 2014
- 283
- 384
- Thread starter
- #21
Acha uzushi.. hakuna offer kama hiyo mtandao wowote wa simu.. leta ushahidi sio unaleta maneno kuchafua biashara za watu.
Unataka kusema TCRA hawajaona wewe ndio umeona.
Watanzania tuwe wakweli
Mode angalia nyuzi kama hizi mzirekehishe.
Sent using Jamii Forums mobile app
[/QUOT naona customer care wa tigo unatetea ugali wako