no one like you
Member
- Aug 27, 2014
- 43
- 11
Jamani mwenzenu imenikuta mara nyingu sana toka niweke thread ya kutafuta mchumba, si mimi tuu hata rafiki yangu James wa JF kakutana nalo, unakuta umeweka hiyo thread then wanaume kibao wanakupm au kukuchek kwa hewa kama uliacha namba.
Wakikuomba uwape unyumba, na wengine huanza kwa kujitongozesha ila ukiwapigia simu hawapokei, jamani dunia imeisha wanaume wenzangu ,nasikitika kuona kuna baadhi ya wanaume wamekubaliana na hali ya kufanya mapenzi kinyume na maumbile.
Hamjithamin eti, hiyo tabia imeshamiri toka tuanze kutembelewa na ugeni toka Marekani, China, nk, nimewaandikia huu uzi kuwatahadharisha kuwa wanaopenda mapenzi ya jinsia moja.
Kuweni makini jamani wanaume na wanawake pia.