Jihadharini na Wanaume mashoga wapo sana Jamiiforums

Joined
Aug 27, 2014
Posts
43
Reaction score
11
Jamani mwenzenu imenikuta mara nyingu sana toka niweke thread ya kutafuta mchumba, si mimi tuu hata rafiki yangu James wa JF kakutana nalo, unakuta umeweka hiyo thread then wanaume kibao wanakupm au kukuchek kwa hewa kama uliacha namba.

Wakikuomba uwape unyumba, na wengine huanza kwa kujitongozesha ila ukiwapigia simu hawapokei, jamani dunia imeisha wanaume wenzangu ,nasikitika kuona kuna baadhi ya wanaume wamekubaliana na hali ya kufanya mapenzi kinyume na maumbile.

Hamjithamin eti, hiyo tabia imeshamiri toka tuanze kutembelewa na ugeni toka Marekani, China, nk, nimewaandikia huu uzi kuwatahadharisha kuwa wanaopenda mapenzi ya jinsia moja.

Kuweni makini jamani wanaume na wanawake pia.
 

Mmmmh!! kazi ipo.
 
Aisee sasa naona ushindani mkubwa kwa kweli loh.... ngoja nitafute mpenzi wangu nisijekosa kabisa maana wanaume wameongezekea kwenye kundi la wanawake ..... sijui tutaolewa na nani aisee?..... dunia lukumbo lukumbo,.............hivi unamshika wapi mwanaume mwenzio kupata steam.? Sipati pichq yani mnachezeana madushe ha ha haki ya nani duh.... wanaume walivyo na makalio makavu na magumu hata hayatikisiki unaanzaje aisee...
 
Umakini mkubwa unahitajika juu ya hili,dunia yenyewe inaenda kushoto hii, pole sana ndugu yangu next time kuwa makini
 
Ila uniambie ujawahi kushikana na kidume mwenzio alafu unahela
Nimshike kidume mwenzangu nigundue nini? sasa ukiweka hela mbela ndo utakutana nao maana nasikia wanakuwaga na hela ndefu maana wanamegwa na wakubwa usijeshangaa unakutana na handsome mwenye pesa zake mkiingia kweye majambozi anakuomba umtie madole oooooh!
 

Nitanunua dido aisee
 

!
!
hahahahaha makalio madogo, magumu na makavu hahahahah..... my ex alikuwa akitaka atensheni ananitusi ------ yako...hahaaha nimecheka mno. Ngoja niamke sasa loh
 
kabisa wengine utawajua thruo their comments,ndio maana niliuliza kama kuna kipimo cha kumjua mwanaume aliyewai kufanyiwa au kafanya kinyume na maumbile coz naona HIV imepata mpinzani
 

ID yako nyingine ni ipi? unasema imekukuta mara nyingi sana tangu uweke bango la kutafuta mchumba lakini inaonekana umejiunga JF August 27th 2014.
 
Hakuna sweetest sex than ya same sex hivi hamjiulizi kwann watu hawaachi?? Sasa kama hamjui wanaume wengi wenye pesa zao wamewapangia rooms na wengine mpk kuwajengea gays tena gays wa tz mambo yao kimya kimya maofisini wapi wapi kote wapo tena mostly wanavyeo vikubwa nyie bwabwajeni yetu yanatuendea wapiiiiiii
 

wanaoliwa mbona wana makalio laini tyuuuu!! na siku hizi wanajilegeza na kurembua balaaa, yani ukimwona tu unajua swaga zake!!
 
kabisa wengine utawajua thruo their comments,ndio maana niliuliza kama kuna kipimo cha kumjua mwanaume aliyewai kufanyiwa au kafanya kinyume na maumbile coz naona HIV imepata mpinzani

kipimo kipo!! kwanza kabisa na vinyweleo vya kwenye () huwa ninalala au kutoota kabisa!! pili ni aina za ukaaji katika kiti au bench ya kawaida na nyingine ni....................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…