figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
mbona mwaka 2014 hawakumpa yeye walimpa sitti Mtemvu, halafu LiLian Kamazima...Majaji Walipagawa na rangi
Sasa wewe unajua alichokifanya sitti kipindi kile kwahyo ilikuwa ngumu sana kumpa huyu.....ila mtoto mzuri huyumbona mwaka 2014 hawakumpa yeye walimpa sitti Mtemvu, halafu LiLian Kamazima...
yeye alikua no3
nahisi baada ya hapo akawa model..
mamiss universe wengi ni models
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sitti mzeeSasa wewe unajua alichokifanya sitti kipindi kile kwahyo ilikuwa ngumu sana kumpa huyu.....ila mtoto mzuri huyu
Miss Tz walishawahi mpa muhindi nakumbuka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sitti mzee
miss universe mwaka huu mzungu
miss world black
Tanzania ina two colours
Hahaaaaaaassduuh wamoto kishenz.
alikua anaitwa Richa AdhiaMiss Tz walishawahi mpa muhindi nakumbuka
Nawe Princess ariana upo kama uyo ? Au wewe black beauty wa nguvu?
[emoji38] [emoji38] [emoji38] wa njano hahaha kama kiini cha yai flani hivialikua anaitwa Richa Adhia
mimi wanjano[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85] kanjano flani hiviiii rangi ya limao
we acha tuu[emoji85]mpaka najitamani[emoji38] [emoji38] [emoji38] wa njano hahaha kama kiini cha yai flani hivi
Kama wewe tu unajitamani sisi huku audiance tuonakuangalia itakuwajewe acha tuu[emoji85]mpaka najitamani
mtanibeba juu juu[emoji23]Kama wewe tu unajitamani sisi huku audiance tuonakuangalia itakuwaje