Jihan Dimachk aibuka Mshindi wa Miss Universe Tanzania 2016

Jihan Dimachk aibuka Mshindi wa Miss Universe Tanzania 2016

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
Mrembo Jihan Dimachk aibuka mshindi wa shindano la Miss Universe Tanzania 2016 lililofanyika Usiku wa Novemba 25, 2016.

Jihan Dimachk, Mshindi wa Miss Universe Tanzania 2016 /2017, amezaliwa na kukulia Mwanza, amesomea nchini Mozambique na sasa anaishi Dar Es Salaam.

Jihan ni mrembo aliyeshinda taji la Miss Ilala mwaka 2014 na kuingia tatu bora Miss Tanzania mwaka huohuo, Wazazi wake ni mchanganyiko wa Tanzania/Lebanon.

Nafasi ya pili ya shindano la Miss Universe 2016 ilichukuliwa na Lilian Loth kutoka Kampala University na nafasi ya tatu ilichukuliwa na Lilian Felix ambaye alikuwa aniwakilisha UDSM.
Screenshot_20161126-071105.jpg
IMG_20161126_070328.jpg
IMG_20161126_070321.jpg
IMG_20161126_070332.jpg
 
Half cast + power of make up = ..........
 
Sasa wewe unajua alichokifanya sitti kipindi kile kwahyo ilikuwa ngumu sana kumpa huyu.....ila mtoto mzuri huyu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sitti mzee
miss universe mwaka huu mzungu
miss world black
Tanzania ina two colours
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sitti mzee
miss universe mwaka huu mzungu
miss world black
Tanzania ina two colours
Miss Tz walishawahi mpa muhindi nakumbuka
Nawe Princess ariana upo kama uyo ? Au wewe black beauty wa nguvu?
 
Miss Tz walishawahi mpa muhindi nakumbuka
Nawe Princess ariana upo kama uyo ? Au wewe black beauty wa nguvu?
alikua anaitwa Richa Adhia
mimi wanjano[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85] kanjano flani hiviiii rangi ya limao
 
Yupo vizuri sio kama kile kimiss tanzania chenu cha mwaka huu.
 
Back
Top Bottom