Jihan Dimachk aibuka Mshindi wa Miss Universe Tanzania 2016

mi sio m'baguzi ila sidati kabisa na rangi nyeupe for any means, wangempa hata nafasi ya pili ingemfaa, tanzania ina watu milioni 45, kati yao wenye asili ya ngozi nyeupe nadhani ni laki 1 (for large extent approximation, na usiniulize sensa nilifanya lini we meza tu hivyo) sasa hii kuwapa vipaumbele ngozi nyeupe nahisi watanzania wengi wana ugonjwa wa "inferiority" ambao inabidi tupate madaktari kutoka "india" waje watutibu.
 
Yupo vizuri
 
I smell racism.. Unajua sisi watanzania ni wabaguzi kazi kuwasema wazungu kwa ubaguzi
Miss Tz walishawahi mpa muhindi nakumbuka
Nawe Princess ariana upo kama uyo ? Au wewe black beauty wa nguvu?
 
I smell racism.. Unajua sisi watanzania ni wabaguzi kazi kuwasema wazungu kwa ubaguzi
Thibitisha. ( andika insha isiyopungua maneno 200 kutetea hoja yako)
 
Twende mbele turudi nyuma udongo wa Makka ni hatari sana,blessed complexion..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…