Jiheshimu wewe, jielewe

Wakili

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2017
Posts
531
Reaction score
657
Unajua hapa duniani watu wanajionaga wajanja sana, ila hamna lolote.

Piga picha upo kwa nani, hii dunia ni yako? Unakula tu, unafakamia tu na kuponda vistarehe vyako, and then baade unaanza kulia.

Hii dunia ni ya Mungu, tena Mungu Baba wa Mbinguni.

Wewe cheua tu, hivyo vistarehe, kuna siku utakula kichapo cha kifo and as we all know hakunaga majanja katika kifo, utalabuliwa kifo cha aibu na Mungu siku moja halafu katikati ya mauti na kifo yaani hapo katikati kabla roho yako haijaondoka utalia kiama, sisi tulio soma na shule ikakaa kichwani tunamjua Mungu vizuri.

Angalia usije ukawa funzo.

Asante.
 
😳Kuna Nini tena mkuu?
 
Nani kakuudhi mkuu?
 
Nani kakuudhi mkuu?
Almost theluthi ya huu ulimwengu upo kwenye shimo la mavi ndugu,watu hawaogopi kitu yaani wao ndio Mungu,yaani watu ni wapumbavu wa kutupwa.
 
Kwan VP mkuu umefukuzwa Kwa shemeji ukaambiwa ukajitafutiee maishà Yako unaona wanakunyanyasaa unaamua kutambaa Dunia tunapitaa ..Dunian nikipita ndio mtu asilee starehee na kufurahia maishà haya??

Ss ntakuwa nakusudi gan la kuwepo dunian
 
Kwan VP mkuu umefukuzwa Kwa shemeji ukaambiwa ukajitafutiee maishà Yako unaona wanakunyanyasaa unaamua kutambaa Dunia tunapitaa ..Dunian nikipita ndio mtu asilee starehee na kufurahia maishà haya??

Ss ntakuwa nakusudi gan la kuwepo dunian
Unasemaje wewe!!!
Yaani unaniona mimi ni mwenzako.
Mimi ni genius na sijawahi kushindwaga na matahira toka nizaliwe.
 
Tusitishane bana
Wewe mbona unakua mzembe jamaa yangu!!
Wewe unaona watu wako sawa kweli!!
Listen dunia inanuka uchafu halafu ile mbaya,kuna matahira mpaka ya tukanwe ndio yanaelewa kua yako nje ya mstari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…