anti-Glazer JF-Expert Member Joined Apr 13, 2023 Posts 291 Reaction score 482 Sep 5, 2023 #1 Ni mawiki Sasa mji mzima sehem za milima milima maji hakuna. Hakuna kwenda toilets. Yaani ni mwendo wa kunawa. Tunakoelekea watu watafunga. Alichosema mh waziri wa tamisemi ni sawa kabisa viongoz wanajifungia maofisini
Ni mawiki Sasa mji mzima sehem za milima milima maji hakuna. Hakuna kwenda toilets. Yaani ni mwendo wa kunawa. Tunakoelekea watu watafunga. Alichosema mh waziri wa tamisemi ni sawa kabisa viongoz wanajifungia maofisini
M Mubby777 JF-Expert Member Joined Oct 17, 2018 Posts 1,628 Reaction score 5,681 Sep 5, 2023 #2 Mmmh maeneo gan?
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,107 Reaction score 160,001 Sep 5, 2023 #4 Lucas mwashambwa hebu njoo ujibu hoja huku
Don Vill JF-Expert Member Joined May 4, 2020 Posts 2,249 Reaction score 5,674 Sep 5, 2023 #5 Huku uhaba wa mafuta , uhaba wa fedha za kigeni , uhaba wa huduma ya maji , umeme wa mgao . Failed state hii
Huku uhaba wa mafuta , uhaba wa fedha za kigeni , uhaba wa huduma ya maji , umeme wa mgao . Failed state hii
kawombe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 14,239 Reaction score 15,876 Sep 5, 2023 #6 Huu ni uzushi n upuzwe tu. Bila kutaja sehemu hata 11 kwa majina. Ni majungu
Sauti ya Mamlaka JF-Expert Member Joined Aug 5, 2017 Posts 1,601 Reaction score 2,354 Sep 6, 2023 #7 Sio dar tu hata mwanza ni shida na tuna ziwa nyanza
misedemideheki JF-Expert Member Joined Aug 7, 2020 Posts 246 Reaction score 448 Sep 6, 2023 #8 Haniiiiiii haniiiiiii haniiiiii nakipendaaaaa hani we unanitesaaaaa Waziri wa ..... Hi ngoma anaipenda sana
Haniiiiiii haniiiiiii haniiiiii nakipendaaaaa hani we unanitesaaaaa Waziri wa ..... Hi ngoma anaipenda sana