johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Waziri wa Tamisemi mh Jaffo amesema Jiji la Dsm limeongoza kwa ukusanyaji mapato kwa upande wa majiji kwa kukusanya wastani wa 38% ya lengo lake la mwaka.
Jiji la Dodoma limeshika nafasi ya mwisho kwa kukusanya wastani wa 18% ya lengo lake la mwaka.
Upimaji huu ni kwa kipindi cha robo ya kwanza ya mwaka wa fedha 2019/20
Source Eatv habari
My take; Hongereni Chadema kwa kuibuka kidedea
Maendeleo hayana vyama!