Jiji la Dar es Salaam ni chafu sana

Jiji la Dar es Salaam ni chafu sana

chinatown

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2015
Posts
1,232
Reaction score
1,105
JAMANI HVI KWELI VIONGOZI WETU WA JIJI HILI MMESHINDWA KUSIMAMIA UCHAFU?

Kuna mitaa ya katikati ya kkoo ,aggrey,sikukuu, yanatiririsha mavi taka kwa miezi sasa hakuna kiongozi anaye jari
mbaya zaidi wana Dar es Salaam nao walivyowajinga mama ntilie wanauzia chakula hapo hapo,wachoma miskaki ile mitamu ya mbwa na ndizi wanachomea hapo hapo,yaani ni tafrani.

hivi ustaraabu tutaupata wapi? wamalawi,wakongo,wazimbabwe ,wabostwana wanatushangaa sana
 
Dar es salaam, anaye jari, miskaki, wamalawi,wakongo,wazimbabwe ,wabostwana wanatushangaa sana
 
mkijaga mjini mnasumbua sana ngoja likizo iishe urudi kolomoje uko
 
Hakuna wazabuni wa uhakika wa tenda za usafi,waliopewa mikataba kukusanya tu taka zilizowekwa kwenye mifuko kipengele
Nadhani serikali hapo inatakiwa kuangalia upya sera zake kuhusu taka mjini,taka mjini haziepukiki na bila nguvu ya serikali na usimsmizi ulio thabiti basi usafi tutausikia tu
 
JAMANI HVI KWELI VIONGOZI WETU WA JIJI HILI MMESHINDWA KUSIMAMIA UCHAFU?

Kuna mitaa ya katikati ya kkoo ,aggrey,sikukuu, yanatiririsha mavi taka kwa miezi sasa hakuna kiongozi anaye jari
mbaya zaidi wana Dar es Salaam nao walivyowajinga mama ntilie wanauzia chakula hapo hapo,wachoma miskaki ile mitamu ya mbwa na ndizi wanachomea hapo hapo,yaani ni tafrani.

hivi ustaraabu tutaupata wapi? wamalawi,wakongo,wazimbabwe ,wabostwana wanatushangaa sana
Usafi ni tabia

Sisi ni wa chafu by nature

Nadhani before blaming uongozi tujitazame wenyewe

Tuna tabia chafu chafu
 
Nadhani serikali hapo inatakiwa kuangalia upya sera zake kuhusu taka mjini,taka mjini haziepukiki na bila nguvu ya serikali na usimsmizi ulio thabiti basi usafi tutausikia tu
Na sisi jukumu letu??
 
Usafi ni tabia

Sisi ni wa chafu by nature

Nadhani before blaming uongozi tujitazame wenyewe

Tuna tabia chafu chafu
HAYO MAVI YANAYOMWAGIKA KUTOKA KWENYE MACHEMBA TUNAFANYAJE SISI KAMA RAIA?SAWA SISI WACHAFU NA HILI? TUMLAUMU NANI?
 
Back
Top Bottom