Jiji la Dar es Salaam ni chafu sana

Jiji la Dar es Salaam ni chafu sana

Dsm pachafu kweli zaidi ya miaka 5 ,kuna maji taka yanajikusanya pale Makutano ya Uhuru na Msimbazi upande wa barabara ya uhuru ukitokea China plaza,mtaro wa katikati unakuwa mpaka na kinyesi kabisa......lakini hakuna mwenye habari napo,na kuna Restaurant inatamana na mtaro huo na mabibi/bwana afya wanapita kuchukua vi nauli kila wakati.
 
Back
Top Bottom