Kolomoje ya 'SAUZI'?mkijaga mjini mnasumbua sana ngoja likizo iishe urudi kolomoje uko
Nadhani serikali hapo inatakiwa kuangalia upya sera zake kuhusu taka mjini,taka mjini haziepukiki na bila nguvu ya serikali na usimsmizi ulio thabiti basi usafi tutausikia tuHakuna wazabuni wa uhakika wa tenda za usafi,waliopewa mikataba kukusanya tu taka zilizowekwa kwenye mifuko kipengele
Usafi ni tabiaJAMANI HVI KWELI VIONGOZI WETU WA JIJI HILI MMESHINDWA KUSIMAMIA UCHAFU?
Kuna mitaa ya katikati ya kkoo ,aggrey,sikukuu, yanatiririsha mavi taka kwa miezi sasa hakuna kiongozi anaye jari
mbaya zaidi wana Dar es Salaam nao walivyowajinga mama ntilie wanauzia chakula hapo hapo,wachoma miskaki ile mitamu ya mbwa na ndizi wanachomea hapo hapo,yaani ni tafrani.
hivi ustaraabu tutaupata wapi? wamalawi,wakongo,wazimbabwe ,wabostwana wanatushangaa sana
Na sisi jukumu letu??Nadhani serikali hapo inatakiwa kuangalia upya sera zake kuhusu taka mjini,taka mjini haziepukiki na bila nguvu ya serikali na usimsmizi ulio thabiti basi usafi tutausikia tu
HAYO MAVI YANAYOMWAGIKA KUTOKA KWENYE MACHEMBA TUNAFANYAJE SISI KAMA RAIA?SAWA SISI WACHAFU NA HILI? TUMLAUMU NANI?Usafi ni tabia
Sisi ni wa chafu by nature
Nadhani before blaming uongozi tujitazame wenyewe
Tuna tabia chafu chafu