Jiji la Dar halina watu zaidi mil 3.

Naweza kukubaliana na mdau maana ccm aka gambas wanavyopika data kila uchaguzi unapokaribia ikiwa lengo kuiba kura kwa urahisi, yaani wanatengeneza vituo hewa na watu hewa, sasa kwa mazingira haya ni lazima uwe idadi wa watu ambayo sio halisi.
 
Soma heading vizuri, tumazunguzia jiji
Dar Es Salaam is by far the most populous region in Tanzania, and yet it is the smallest region in the country.
 
Tunazungumzia Dar City (jiji), wewe wa buza hujahesabiwa[emoji1]
Una maana gani?

Wanaoishi palepale Dar, au unahesabu na wale wanaoingia kila siku kwa shughuli mbalimbali, na kurudi makwao baada ya shughuli zao za kila siku?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…