Jiji la Dar halina watu zaidi mil 3.

Jiji la Dar halina watu zaidi mil 3.

The topic, I think is about Dar as a city. The new city must have less than 3 mil. People
And why call the new city Dar, instead of its proper name of Ilala City?

Dar remains as a Metropolitan constituted of these outlaying cities.
 
Tunazungumzia Dar City (jiji), wewe wa buza hujahesabiwa[emoji1]
Samahani sana. Tafadhali niombe radhi kunipeleka shambani Buza. Mimi ni mjini haswa, pale Vingunguti karibu na machinjioni. Pale pekee tupo takribani miliioni moja na ushee!
Manzese nayo iko Jiji; na hujafika Kigogo na kwingineko!
 
Kwani pale Nairobi populeshoni iko ngapi, without including kibera.....maana kule wanakaa wakora......
 
Mleta uzi ndicho alichokitaka hiki kafanya makusudi ili watu wajichanganye! Maana anajua tushazoea mtu ukisema Dar Es Salaam unamaanisha Ilala, Kinondoni, Kigamboni, Temeke, na Ubungo kumbe kamaanisha Ilala tu!

Sasa roho yake kwatu na anajisikia raha anavyobaki anawajibu watu eti "soma heading vizuri"! Ndiyo maana uzi wenyewe ukiuangalia hauoni hata mantiki ya kuanzishwa kwake kumbe mleta uzi hilo ndiyo lilikuwa lengo lake!
 
Hii ndo takwimu ya Ilala 2019
ef059594-6743-4d2b-b1bd-a189b24b6a2a.jpg

Aka Halmashauri ya jiji la Dar es salaam
 
[emoji1]
Mleta uzi ndicho alichokitaka hiki kafanya makusudi ili watu wajichanganye! Maana anajua tushazoea mtu ukisema Dar Es Salaam unamaanisha Ilala, Kinondoni, Kigamboni, Temeke, na Ubungo kumbe kamaanisha Ilala tu!

Sasa roho yake kwatu na anajisikia raha anavyobaki anawajibu watu eti "soma heading vizuri"! Ndiyo maana uzi wenyewe ukiuangalia hauoni hata mantiki ya kuanzishwa kwake kumbe mleta uzi hilo ndiyo lilikuwa lengo lake!
 
Heee! wakaa vingunguti Babu??? pale si ni sehemu maalum ya machinjioni na Mnada Maarufu wa mbusi na kondoo wa wizi!! na wahusika wakuu ni Wagogo, Wakurya, Wachagga wauza nyama choma!!! yaani Dampo la vingunguti mmefikia million moja?

Sasa bila shaka weye ni Mkurya mpenda sifa unajiona uko Dar hasa, karibu na club raha leo show!! ukasimulie kureee Nyamwagha!! Mura mwita chomete ruti nyumpani, tata bhatoto bhana ria!! kuree Ghu-kirighiri! ukarime mafuno ya uresi tata!! mchini hapakubhai!!!

Umeansa kuwa karongo rongo!! kama bhitoto bhya muchini!! huoni hata aipu!! kama unanisikia popote muraa!!! nchoo!! ruti nyuumpaaani uchenge nyumba ya pati! uishi na mama bhoke!! mbusi sasa wanatocha kura ghichureee! Ghesara amekua! mumuraaa!
Umebarehe hivi karibuni?
 
Back
Top Bottom