Jiji la Dar halina watu zaidi mil 3.

The topic, I think is about Dar as a city. The new city must have less than 3 mil. People
And why call the new city Dar, instead of its proper name of Ilala City?

Dar remains as a Metropolitan constituted of these outlaying cities.
 
Tunazungumzia Dar City (jiji), wewe wa buza hujahesabiwa[emoji1]
Samahani sana. Tafadhali niombe radhi kunipeleka shambani Buza. Mimi ni mjini haswa, pale Vingunguti karibu na machinjioni. Pale pekee tupo takribani miliioni moja na ushee!
Manzese nayo iko Jiji; na hujafika Kigogo na kwingineko!
 
Kwani pale Nairobi populeshoni iko ngapi, without including kibera.....maana kule wanakaa wakora......
 
Mleta uzi ndicho alichokitaka hiki kafanya makusudi ili watu wajichanganye! Maana anajua tushazoea mtu ukisema Dar Es Salaam unamaanisha Ilala, Kinondoni, Kigamboni, Temeke, na Ubungo kumbe kamaanisha Ilala tu!

Sasa roho yake kwatu na anajisikia raha anavyobaki anawajibu watu eti "soma heading vizuri"! Ndiyo maana uzi wenyewe ukiuangalia hauoni hata mantiki ya kuanzishwa kwake kumbe mleta uzi hilo ndiyo lilikuwa lengo lake!
 
Hii ndo takwimu ya Ilala 2019

Aka Halmashauri ya jiji la Dar es salaam
 
[emoji1]
 
Umebarehe hivi karibuni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…