Jiji la Dar ikifika Jumamosi, Lodge, Guest na hotel za nyota ndogo zote hujaa. Shida nini hasa?

Jiji la Dar ikifika Jumamosi, Lodge, Guest na hotel za nyota ndogo zote hujaa. Shida nini hasa?

Siku hizi kama unatoka safari kuja Dar, basi jitahidi usifike huku Jumamosi usiku, wallahi utalala stand.
Acha ujinga wewe sisi wafanyabiashara tunafurahi nyumba zetu kujaa wewe pimbi na vihela mbuzi vyako unalalamika! Nenda hotel zote kuwa huwa kuna nafasi kibao
 
Back
Top Bottom