Jiji la Dodoma labadilisha mfumo a uuzaji maeneo Tahadhari ya corona

Joined
Apr 4, 2020
Posts
16
Reaction score
7
1586434227158.png

Kufuatia tishio la kuenea kwa maambukizi ya ugonjwa wa Corona,Mkurugenzi wa jiji la Dodoma Godwin Kunambi amelazimika kubadilisha mfumo wa uuzaji fomu kwa ajili ya maeneo kutoka njia ya kawaida na kuanzisha mfumo wa kidijitali.

Akizungumza na waandishi wa habari April 8,2020jijini Dodoma Mkurugenzi wa jijni hapa Godwin Kunambi amesema uuzwaji wa fomu hizo kwa njia ya mtandao utawapa fursa wale wote ambao hawapo Dodoma kujaza fomu hizo wakiwa kwenye maeneo yao badala ya kufunga safari hadi Dodoma.Kuhusu wananchi waliokuwa tayari wamekwisha lipia na kuchukua fomu hizo KUNAMBI amesema wote wataingizwa kwenye mtandao ambapo pia mfumo huo utaanza kutumika rasmi April 14 mwaka huu.

Aidha amesema muda wa uuzwaji wa fomu kwa njia ya mtandao utakuwa kwa muda wa siku saba na fomu moja itauzwa kwa gharama ya Sh20,000.Awali zoezi hilo liliwalazimu wananchi kufika moja kwa moja katika Ofisi za iliyokuwa manispaa ya zamani lakini kutokana na mwitikio mkubwa imeonekana kukawepo uwezekano wa kusambaa kwa virusi vya ugonjwa wa Corona hivyo kulazimika kusitishwa kwa zoezi hilo na badala yake kutangazwa kufanyika kwa njia ya mtandao
 
View attachment 1413827

Hongera sana kwa ubunifu.sasa wizara ya madini nao wasaidie wananchi kulipia annual rent, application na preparation fees kwa njia ya mtandao,nikimaanisha kuwa Tanzania commission for University walibuni mfumo mzuri wa kupata control number ya kulipia gharama zinazohusu tcu,ni zamu Sasa kwa wizara ya madini kubuni njia mbadala ya kupata control number online badala ya mfumo wao wa Sasa wa kucreate invoice ya malipo ili ukaombe Tena control number, ili kuepuka mikusanyiko au wateja kwenda ofisi za madini kuomba control number,za kulipia kipindi hiki Cha corona.control number iwe na muda wa kulipiwa two weeks.
 
Back
Top Bottom