ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Dodoma kwa Kweli inakua sana,mkalama ni pazuri ni karibu na UDOM,ongezea Hilo mkuu!Ukisema tuu mkalama wageni ngumu kukupata!Gaborone ππ
View: https://youtu.be/VSCmUZdJ6C0?si=OwFn1C-MczQ1aAw0
Vs
Dodoma
View: https://youtu.be/uaDakLskdB4?si=R948peqHbjJj6U5U
My Take
Advantage ya Dodoma ni kuwa na watu wengi ikilinganishwa na Gaborone hivyo in long run Dom itakuwa Biggest City
View attachment 3201581
Kimsingi Mitaa yote ya Dom HQ ni π₯π₯Dodoma kwa Kweli inakua sana,mkalama ni pazuri ni karibu na UDOM,ongezea Hilo mkuu!Ukisema tuu mkalama wageni ngumu kukupata!
Hivi sheria ya kuezeka ni lazima iwe BATI NYEKUNDU maana dodoma karibu yote ipo katika muonekano huo, elimu plsKimsingi Mitaa yote ya Dom HQ ni π₯π₯View attachment 3201803
Hapana ilikuwa Mitaa na Miata sema hiyo rangi pendwaHivi sheria ya kuezeka ni lazima iwe BATI NYEKUNDU maana dodoma karibu yote ipo katika muonekano huo, elimu pls
Hivi sheria ya kuezeka ni lazima iwe BATI NYEKUNDU maana dodoma karibu yote ipo katika muonekano huo, elimu pls
Tuoneshe nyumba Yako kama inawwazidi Hawa wenye pesa hapa Dom ππHakuna mtu mwenye pesa anaweza kaaa dodoma,
Thank you dearππΎ
SawaHakuna mtu mwenye pesa anaweza kaaa dodoma,
Hakuna mtu mwenye pesa anaweza kaaa dodoma,
Tunajadili miundombinu na kujengeka Kwa Jiji.Kaarusha kanaingia sijui mara ngapi hapo ππ halafu kanavyosifiwa na wenyewe sasa ππ
1 Dar
2 Mwz
3 Dom
Unakiuza bei gani?Tatizo la Dodoma wanagawa viwanja maporini bila kuchonga barabara wala kupeleka umeme na maji. Mimi najuta kununua kiwanja lugala