Jiji la Dodoma linajengeka lifanane na Gaborone, Hima kwa Serikali idhibiti ujenzi holela

Jiji la Dodoma linajengeka lifanane na Gaborone, Hima kwa Serikali idhibiti ujenzi holela

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
Gaborone ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

View: https://youtu.be/VSCmUZdJ6C0?si=OwFn1C-MczQ1aAw0

Vs
Dodoma

View: https://youtu.be/L9lJR3lUd-Y?si=m64jjh-H0WLNm_x_

View: https://youtu.be/uaDakLskdB4?si=R948peqHbjJj6U5U

My Take
Advantage ya Dodoma ni kuwa na watu wengi ikilinganishwa na Gaborone hivyo in long run Dom itakuwa Biggest City
Screenshot_20250113-171254.jpg
 
Kaarusha kanaingia sijui mara ngapi hapo ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ halafu kanavyosifiwa na wenyewe sasa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

1 Dar
2 Mwz
3 Dom
 
Kaarusha kanaingia sijui mara ngapi hapo ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ halafu kanavyosifiwa na wenyewe sasa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

1 Dar
2 Mwz
3 Dom
Tunajadili miundombinu na kujengeka Kwa Jiji.

Mwanza ondoa kwenye listi
 
Tatizo la Dodoma wanagawa viwanja maporini bila kuchonga barabara wala kupeleka umeme na maji. Mimi najuta kununua kiwanja lugala
 
Back
Top Bottom