Plot4Sale Jiji la Dodoma na mkoa wa Dodoma kwa ujumla tunauza viwanja, nyumba, maeneo na mashamba

Plot4Sale Jiji la Dodoma na mkoa wa Dodoma kwa ujumla tunauza viwanja, nyumba, maeneo na mashamba

Hapo naona mpaka kiwanja Cha 1200+m². Lakini pia unaweza kununua viwanja kadhaa ukaviunganisha kikawa kimoja.
Hii ni mbaya inagharim maana utalipia kiwanja zaidi ya kimoja kodi
Bora ununue kimoja chenye ukubwa unaotaka
 
Kiwanja kinapatikana sehemu mbili na Matumizi ni BIASHARA NA MAKAZI..

1.WIA Extansion kiwanja kina Ukubwa Sqm 448 kinataka Milioni 2(Tsh 2,000,000/= tu).

2.Miganga North kiwanja kina Ukubwa wa 420 Sqm kinataka Tsh Milioni 3(Tsh 3,000,000/= tu).
 
Naona hali ya uchumi sasaivi dodoma ndio imekaa vizuri,msimu uliopita presha za watu kupandisha viwanja bei kumewatokea puani,kuna mtu aliniambia dodoma viwanja bila ya kuwa na milioni 5 hujapata bado,na ndio mwaka ambao jiji dodoma waliongoza kimapato tanzania nzima,sasa iyo laki saba naifananisha na vile viwanja vinavyopigiwaga chapuo vikindu,kisemvule na chanika

Laki 7 zilikuwepo sehemu inaitwa Chahwa ni nje sana na Mji mpaka sasa vimepanda vimeshafika 1.5M
 
Bei za Viwanja ukihitaji karibu ofisini kwetu pia kuna namba za simu kwaajili ya bei lakini hatuwezi kuweka bei za Viwanja kwasababu unakuta kwa mfano Mtumba pekee tuna Viwanja mpaka 10 sasa tutaandika bei ya Viwanja vingapi na tukiuza tunafuta au tunafanyaje?
Wauzaji wa magari wanayo zaidi ya 1000 kwenye yard na kila gari lina bei yake unaonaje ukawaiga hao.
 
  • Kicheko
Reactions: apk
Kiwanja kinapatikana sehemu mbili na Matumizi ni BIASHARA NA MAKAZI..

1.WIA Extansion kiwanja kina Ukubwa Sqm 448 kinataka Milioni 2(Tsh 2,000,000/= tu).

2.Miganga North kiwanja kina Ukubwa wa 420 Sqm kinataka Tsh Milioni 3(Tsh 3,000,000/= tu).
Mkuu tupia mawasiliano yako kwa PM
 
IMG_4452.jpg
 
Back
Top Bottom