Plot4Sale Jiji la Dodoma na mkoa wa Dodoma kwa ujumla tunauza viwanja, nyumba, maeneo na mashamba

Hapo naona mpaka kiwanja Cha 1200+m². Lakini pia unaweza kununua viwanja kadhaa ukaviunganisha kikawa kimoja.
Hii ni mbaya inagharim maana utalipia kiwanja zaidi ya kimoja kodi
Bora ununue kimoja chenye ukubwa unaotaka
 
Kiwanja kinapatikana sehemu mbili na Matumizi ni BIASHARA NA MAKAZI..

1.WIA Extansion kiwanja kina Ukubwa Sqm 448 kinataka Milioni 2(Tsh 2,000,000/= tu).

2.Miganga North kiwanja kina Ukubwa wa 420 Sqm kinataka Tsh Milioni 3(Tsh 3,000,000/= tu).
 
Laki 7 zilikuwepo sehemu inaitwa Chahwa ni nje sana na Mji mpaka sasa vimepanda vimeshafika 1.5M
 
Wauzaji wa magari wanayo zaidi ya 1000 kwenye yard na kila gari lina bei yake unaonaje ukawaiga hao.
 
Reactions: apk
Kiwanja kinapatikana sehemu mbili na Matumizi ni BIASHARA NA MAKAZI..

1.WIA Extansion kiwanja kina Ukubwa Sqm 448 kinataka Milioni 2(Tsh 2,000,000/= tu).

2.Miganga North kiwanja kina Ukubwa wa 420 Sqm kinataka Tsh Milioni 3(Tsh 3,000,000/= tu).
Mkuu tupia mawasiliano yako kwa PM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…