Nyalotsi
JF-Expert Member
- Jul 20, 2011
- 6,986
- 5,058
Pamoja na Jiji kuwa na makusanyo mengi ya Kodi lakini ni Jiji ambalo liko nyuma kwa upande wa barabara za mitaa!
Mitaa ya zamani kama Mwanjelwa, Nzovwe, Soweto, Uyole barabara hakuna ni mashimo tu.
Mitaa mipya ambayo wakati mwingine imepimwa na viwanja kuuzwa na Jiji hakuna hata barabara nzuri za kukufikisha huko.
Mitaa ya Isyesye na Itezi Ina zaidi ya miaka 10 watu Wana makazi huko lakini hakuna hata miundombinu ya barabara. Ni mashimo tu.
Jiji linashindwa miundombinu hata na Halmashauri za miji midogo.
Mfano Njombe na Makambako Wana barabara nzuri za lami za mitaa.
Hawa mbeya Jiji huwa wanajadili Nini kwenye bajeti zao za miundombinu?
Viwanja wanavyopima na kuwauzia wananchi wanataka Nani atengeneze barabara za kuwafikisha wananchi kwenye hayo makazi?
Baraza la madiwani nao wanafurahia adha hizi za wananchi?